BAADHI YA WACHEZAJI INABIDI WAPUMZIKE KWA AJILI YA LIGI

Image may contain: 1 person, text

"kufuatana na nguvu yetu tulionayo(wachezaji)inatubidi tuangalie wapi tutapata faida,tupo na ligi kuu,tupo na Azam federation cup, mapinduzi cup na Sport Pesa inabidi sisi kama yanga tuwe na malengo kwenye kitu chenye manufaa kwetu tukiamua kuyataka makombe yote tunaweza kosa yote ivyo lazma baadhi ya wachezaji wapumzike kwaajili ya ligi na ASFC" - Mwinyi Zahera.