PUMZIKA KWA AMANI ALLY YANGA!

Image may contain: 2 people, people smiling, people sitting and people eating

Ilikuwa tarehe 20 June 2017, ndipo ulipotutoka! hakika ni pigo kwa maana ulikuwa shabiki wa kweli, alama ya wapenda Yanga SC wote! ulikuwa kielelezo tosha jinsi shabiki anavopaswa kuwa, shabiki namba moja wa Yanga maarufu! Mashabiki wote wa soka nchini tunakukumbuka na daima tunakuombea!