UPENDO NA UMOJA HUU VIDUMU DAIMA!

Image may contain: 7 people

Haina maana kuwa kulikuwa na meza au viti vichache wala usifikirie ukumbi ulikuwa mdogo! hapana, hii ni ishara tosha juu ya upendo, umoja na mshikamano walionao vijana wetu! Siri ya ushindi tunaoupata uwanjani basi huanzia katika muktadha huu. Hakika somo la baba yao Zahera wamelielewa na wanaliishi.